Campus relationship si za fresher
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz">THREAD...
After kuadmittiwa shule week one tulimeet na huyu manzi fulani alikuwa tu sawa Elsa. Na juu wote tulikuwa tu tunaishi hostel mapenzi yetu ilikuwa tu ya kuhang around kama mawochii tu. Tulikuwa tunaishia supper pamoja lunch na breko then mayb kama hakuna mbogi kwa room napewa mate
Hii relationship yetu ilikuwa na kasparkle fulani tu yaani ungefeel tu future ndani yake juu ata naskia habari zilikuwa zimefikia VC vile sisi tunapendana
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> yeah thats how serious it was. But sem 2 mimi nkaamua kureside from outside juu usikawai jaribu dame yako na wanaume w
Wanasemaga dem ni maembe wewe ukingojea iive wengine wanakula na chumvi
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">. Atleast niikishi nje hakuna kuchapana exile we actually found ourselves tunaishi tu kwangu though yeye still alikuwa anaishi hostel. The relationship was still solid and cemented ni kama ile koroga ya s
Savannah yenyewe. Sem 2 was over na sa juu huezi ishi hostel ukiwa second year ilibidi ahame na juu tulikuwa tumezoea kukaa kwangu mimi nkasuggest tuishi pamoja. Then kujifanya kuact romantic ati nkamshow yeye asilipe rent juu mzae wangu anajua naishi solo then yake tunaeza tumia
Tu kama upkeep. Please kwa mambo za pesa romance achia alihandro bro
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz">. Sem 1 huanza September so by November huko wee mambo ilianza kuwa noma but guessing ni venye tulishaanza kuzoeana na yeye but si dec ilifika haraka na tukaishia home ile holiday hukua two weeks
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> na venye
Nilikuwa nmezoea kulala ndani hio wiki mbili dryspell ilinichapa mpaka kurudi relationship ikaanza kusparkle again. Lakini kama kawa ukishazoea ni ivo
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> wiki tatu ilifika as I told you mimi ndo nilikuwa natake care of the rent na yeye dooh yake tunatumia kama upkeep. Weuh ilifika
Place ati analeta kwa meza upkeep ya 1k na anafaa kuleta 2500 na si ati hana ni vile alianza kuenda shoots na saa dooh anaspend kununua nguo za kudrip. Ikafika situation hii stori na rent singeweza kabisa na mimi kama mzee wa boma
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">nkaita mkutano wa hadhara nkashow Elsa hatuezi
Ishi ivo so itabidi tu tushare cost ya rent na ya nyumba juu pia haingemake bana pesa ya chakula ndo anadrip kuwaonyesha tirries pale instagram. Relationship yenye ilikuwa chocolate by now ilianza kuwa maziwa mala
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz"> mimi nko tu hapo kejani nashangaa Elsa anangara na ni 8pm
Ati anaenda photoshoot
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit rollenden Augen" aria-label="Emoji: Gesicht mit rollenden Augen">. Hafu anakam next day na mastori kibao. Mimi hapa nikaona venye kunaenda ikabidi nianze kusaka sub wake juu hapa siamini kuna future tena. Heshima ilianza kupungua wakati mimi natokea daro napata majamaa tatu kwa nyumba na Elsa. haiya sa heshima imeisha
Mpaka nachapwa exile na bibi yangu
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz">
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">. Ilibidi niwafukuze kwanza ndo tudissolve government. Sa mimi nkamshow juu hakuna venye atanichapa exile kwangu itabidi tu ahame na juu ilikuwa mid feb huko akalia vile ni kunoma pia unajua wazae wanakimbizwa na loans za dec na juu pia
Huwa na roho nilimshow ni sawa anaeza kaa mwezi moja but saii atakuwa roommate si bibi yangu tena
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="đ" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> kuoa achia wazazi oyah.....